2023:Matukio ya setilaiti
Outdated translations are marked like this.
16–19 August 2023, Singapore and Online
Diversity. Collaboration. Future.
Matukio ya satelaiti yanafanyika kwa pamoja Wikimania 2023. Kutakuwa na maudhui yaliyorekodiwa kabla, rekodi za vikao, na mitiririko ya moja kwa moja inayopatikana kwa ajili ya matukio.
Inaweza kuwa imepangwa kwa;
- kulingana na ratiba ya moja kwa moja ya Wikimania,
- kuungana kwa pamoja na kuangalia,
- kwa wakati unaofaa kama kutazama kwa pamoja.
Ili kujua jinsi ya kupata usaidizi wa kifedha kwa tukio lako lililopangwa la setilaiti, nenda kwenye ukurasa huu.
Livestream party
Watch party
Picnic
The Great North American Wiknic will be held on various August weekends before and after Wikimania, "the picnic anyone can edit" enjoyed at various localities across the continent.
Editathon
- Wikimania 2023 Tokyo GLAM Editathon @Tokyo National Museum
- City, location: Tokyo, Tokyo National Museum
- Organizer: Museum Wikipedia Editathon Organising Committee
- Format: In-person editathon
- Date and time: 17 August, 2023
- Event page, registration link: Japanese Wikipedia event page